Aman Willz Logo

Karibu Dr: Aman Willz
Help Center

Aman Willz Logo

Maswali na Majibu Kuhusu
PARIPESA

Jinsi gani nitaweza kufanya DEPOSIT kama natumia Mobile Application?

  • Fungua Application halafu Click "MENU"
  • Juu kulia utaona neno "Deposit"
  • Click hapo halafu chagua mtandao uliojisajilia (mfano Vodacom, Tigo, Airtel)
  • Ingiza kiasi unachotaka kuweka halafu malizia kuingiza namba ya siri

Nawezaje kutumia CODE YA MIKEKA kama natumia Application?

  • Fungua App yako
  • Bonyeza kiduara cha katikati hapo chini kimeandikwa Bet Slip
  • Then Click "Download Bet Slip"
  • Then paste Code hafu click Upload

Jinsi gani nitatumia CODE YA MIKEKA kama natumia WEBSITE?

  • Gusa kitufe kimeandikwa "Betslip" hapo chini katikati
  • Hafu utaona neno "Go to betslip", bonyeza hapo
  • Kisha bonyeza vidoti vitatu pembeni mwa neno "My betslip"
  • Hafu utaona neno "Load Betslip" bonyeza hapo, weka code yako hafu bonyeza "load"

Nawezaje kuwasiliana na HUDUMA KWA WATEJA?

  • Kwenye App click "Menu" then "Customer Support", hafu click "Chat"
  • Unaweza pia kuandika kwa Kiswahili, wahudumu wa Kiswahili pia wapo

DOCUMENT NUMBER ni nini?

  • Sehemu ya document type chagua IDENTITY CARD
  • Sehemu ya document number weka namba ya NIDA au Namba ya Kitambulisho cha Mpiga Kura

Natoaje Pesa kupitia Application ya Aman Willz?

  • Fungua App hafu Click "MENU"
  • Juu kulia utaona icon ya settings, bonyeza hapo
  • Then chagua "withdraw"
  • Chagua mtandao uliojisajilia kuweza kutoa pesa
  • Ingiza kiasi unachotoa halafu malizia kutoa pesa